Oct 16, 2013

Samsung yatengeneza TV yenye uwezo wa kutambua uwepo wako.

 Hii ni technologia mpya kabisa kutoka , inayotarajiwa kutoka ndani ya mwaka huu 2013.
Tecknologia hii imerahisisha zaidi kupuguza Matumizi ya Rimoti. 

Oct 15, 2013

4 GB RAM Ubuntu Edge. Simu ya kwanza kutumia Android na Ubuntu OS kwa pamoja.


Januari mwaka huu Canonical waliitangaza Ubuntu Phone OS kama operating system mpya kwa ajili ya simu, na
sasa wanakuletea Ubuntu Edge.
Ubuntu Phone OS ni operating system ambayo inamuwezesha
mtumiaji kupata experience ya Ubuntu kwenye
simu yake kama ilivyo Windows Phone OS iliyopo kwenye Nokia Lumia.

Oct 14, 2013

Simu 10 zenye gharama kubwa zaidi duniani.

Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za 
gharama zaidi duniani kutokana na miundo yake pamoja na 
material yaliyotumika kuzitengeneza na inasemekana kuwa simu hizi zinapatikana kwa oda maalum yaani (special order). Hebu tuziangalie.


Vodafone waunda charger ya simu inayotumia joto la mwili.


Kampuni ya simu ya Vodafone kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Southampton cha nchini Uingereza wamefanikiwa kutengeza chaji za simu zijulikanazo kwa jina la “Power Pocket” ambazo zitamwezesha mtumiaji wa simu ya Vodafone kuchaji simu yake kwa kutumia nishati ya joto la mwili wake.

Kampuni ya Google yajiandaa kuzindua Laptop ili kulikamata soko zaidi

Kampuni ya Google imekuwa ikikuwa siku hadi siku kutokana na kuzidi kupanua Wigo wake wa kibiashara Duniani kwa sasa Google imeamua Kutengeneza Laptop ili kuzidi Kuimarisha Ushindani wa  Kibiashara Duniani, Laptop Hizo zimepewa jina la HP CHROMEBOOK 11. Kampuni ya Google ikishirikiana na


Hii ni saa yenye uwezo wa kutambua siku na muda wa kifo chako.


Kwa mujibu wa Vyanzo vya habari Duniani. na katika Website mbalimbali habari hii imekuwa ikienea kwa kasi sana, kuwa Sasa unaweza kutambua mda utakaokufa kutokana na kifaa maalumu kinachovaliwa mkononi ama kwa lugha Rahisi utaita

Sep 23, 2013

Teknologia ya mstari wa goli kutumika kombe la dunia 2014 huko Brazil

Shirikisho la Soka Duniani FIFA limethibitisha rasmi litatumia teknolojia ya kutambua iwapo mpira umevuka mstari na kuwa goli kwenye Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika nchini Brazil mwa 2014. Tangazo hilo la FIFA limekuja baada ya kuona mafanikio