Oct 14, 2013

Kampuni ya Google yajiandaa kuzindua Laptop ili kulikamata soko zaidi

Kampuni ya Google imekuwa ikikuwa siku hadi siku kutokana na kuzidi kupanua Wigo wake wa kibiashara Duniani kwa sasa Google imeamua Kutengeneza Laptop ili kuzidi Kuimarisha Ushindani wa  Kibiashara Duniani, Laptop Hizo zimepewa jina la HP CHROMEBOOK 11. Kampuni ya Google ikishirikiana na


HP imetangaza
rasmi kuwa Laptop hizi zitakuwa zikipatikana kwa Bei ya Dola 279 {$279} za kimarekani.