Oct 14, 2013

Vodafone waunda charger ya simu inayotumia joto la mwili.


Kampuni ya simu ya Vodafone kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Southampton cha nchini Uingereza wamefanikiwa kutengeza chaji za simu zijulikanazo kwa jina la “Power Pocket” ambazo zitamwezesha mtumiaji wa simu ya Vodafone kuchaji simu yake kwa kutumia nishati ya joto la mwili wake.

Hii teknolojia mpya itawasaidia watumia wa simu aina ya Vodafone kuchaji simu yake akiwa katika mazingira ambayo hakuna umeme.






chanzo:no1 graphics web