Oct 16, 2013

Samsung yatengeneza TV yenye uwezo wa kutambua uwepo wako.

 Hii ni technologia mpya kabisa kutoka , inayotarajiwa kutoka ndani ya mwaka huu 2013.
Tecknologia hii imerahisisha zaidi kupuguza Matumizi ya Rimoti. 



TV Hizi zinaweza kutambua kila uhachokifanya kwa wakati husika pia zina Kamera unaweza zipa amri bila kutumia Rimoti au Kibonyezo.

No comments:

Post a Comment