Sep 23, 2013

Teknologia ya mstari wa goli kutumika kombe la dunia 2014 huko Brazil

Shirikisho la Soka Duniani FIFA limethibitisha rasmi litatumia teknolojia ya kutambua iwapo mpira umevuka mstari na kuwa goli kwenye Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika nchini Brazil mwa 2014. Tangazo hilo la FIFA limekuja baada ya kuona mafanikio

Sep 22, 2013

Smart Accesories zazidi kuitawala dunia.

Tunaishi kwenye dunia ambayo imetawaliwa na vifaaa vya kisasa vya kieletroniki. Kwa sasa hivi dunia nzima imetikiswa na kusambaa kwa simu za mikononi zinazoitwa 'smart phones'.
Smartphones ni aina za simu za mikononi zilizounganishwa
na mfumo wa uendeshaji wa simu ukiwa umeongezewa na 

Kampuni ya TTCL yazindua Smartphone ili kuendana na soko.

Kampuni ya simu ya TTCL imeibuka na simu yao ya kisasa (Smartphone) ili kukimbizana na soko la simu za mikononi. Si mara ya kwanza kampuni hii inayokula pesa nyingine kutoka kwa walala hoi watanzania kwani walishawahi kuibuka na simu za mikononi

Windows phones , Android phones..Niende wapi?

Ni kawaida sasa hivi kwenye redio kusikia matangazo ya lumia, samsung galaxies zinazidi kushika kasi, techno wanakomba soko la tanzania na huawei nyingi za tigo zinazidi kusambaa. Yote haya oyanaweza kukuchanganya na kufanya usifanye uamuzi sahihi wakati

Gari isiyoonekana (invisible car) kutengenezwa.

Ni kitu kisicho cha kawaida ila kampuni ya magari,Benz kwa kushirikiana na wanaSayansi kutoka chuo Kikuyu cha Tokyo, wapo katika mchakato wa kutengeneza gari isiyoonekana(invisible car).Kwa mujibu wa chanzo cha habari,gari hii siyo kwamba haionekani kweli lakini